價格:免費
更新日期:2019-10-30
檔案大小:9.7M
目前版本:300
版本需求:Android 4.1 以上版本
官方網站:http://www.zopoz.com/
Email:mobile@zopoz.com
聯絡地址:mor.ninja kocaeli / turkey
Tarjuma ya Quran Tukufu kwa kiswahili, Qur'ani Tukufu, Translation of the Holy Qur'an to Swahili Language. BySheikh Ali Muhsin Al-Barwani ·
Qur'an[1] (kwa Kiarabu: القرآن) ni kitabu kitukufu cha Uislamu. Qur'an inatazamiwa na Waislamu kama "Neno la Allah (Mwenyezi Mungu)". Kitabu hiki kwao ni tofauti kabisa na maandiko ya vitabu vya dini nyingine kwa maana hicho kinaaminika kwamba kimeandikwa moja kwa moja na Mwenyezi Mungu, kupitia mtume wake wa mwisho, Muhammad.
- Ali Muhsin Al-Barwani